Friday, April 30, 2010

ELIMU

Elimu ni muhimu sana katika maendeleo ya binadamu.Ili kufahamu kitu chotechote kwa undani inahitajika elimu,elimu tunaweza ipata kupitia kusoma kupitia magazeti,vitabu mbalimbali,darasani,video,radio na mtandaoni.Kila mtu akipata ujuzi ni bora kwani itapelekea kujiajiri mwenyewe..