Saturday, August 3, 2013

kamari zisizo rasmi

Hivi hizi kamari zinazochezwa nchini mbona ni wizi wa waziwazi au sheria inawalinda.Ila kama ningepata nafasi ningezuia kamari  kama karata tatu nani kaona au wanao tumia makanda  na wale wanaotumia kadi kutuibia watanzania.Ushauri wa bure kabisa tuache kupenda doze tufanye kazi japo na ajira nazo ni adimu.