Monday, July 15, 2013

UVAAJI HUU HATARI

Uhuru unapozidi unapelekea majanga mabaya binafsi au kwa jamii..Pitapita za kitaa zimefanya nikutanane na madada zetu mavazi wanayo vaa aibu..Unakuta dada wa ukweli ila mavazi anayo vaa ki ukweli kwa wenye maadili mema tunaona ni kujiabisha bila kujua maskini anaona katokelezea..Nani kasema ukivaa mini sketi,taiti au kuacha maungo yako ndo ujanja..Haahaa ila hawajui kwamba kizuri chajiuza na kibaya cha jitembeza..Hamna shaka jitembezeni tu ila sijui kama mtu makini kama atapenda kuoa dada wa aina hii..