Thursday, July 25, 2013

MAFANIKIO

Ili kupata mafanikio ni lazima kuzingatia  kujitambua.Watu wengi wanashindwa kufikia mafanikio kwa sababu hawajui haki na wajibu wao wa msingi.Kwa hiyo ni lazima tufahamu sisi ni nani tunahaki gani katika jambo tunalolifanya kama ni mwanafunzi,mwalimu,mfanyakazi,mjasiriamali au mfanyabiashara.Ndio mambo yakuzingatia hayo sio unasitata au kuogopa kwenye haki yako.Vilevile chochote unachofanya fanya kwa moyo wote kwa asilimia mia moja mpaka wote wakubali kuwa umefanya yako..