Kila mtu anatabia na mtazamo wake  katika maisha.Lakini ili kuenenda na tabia na mtazamo wa watu tofautitofauti.Zifuatazo ni mbinu mathubuti zikizingatiwa basi utaishi na jamii yoyote ile kwa amani.
- Kwanza soma tabia,utamaduni na kanuni za jamii husika.
 - Msome kila mtu na tabia yake.Kwa mfano watu wengine wanapenda kusifiwa tu na wengine kila kitu yeye anajua wala hataki kupingwa.
 - Jitahidi ufanye kila kitu kwa ufanisi wa hali ya juu.uwemstaarabu mfano usikae kwenye meza wakati kiti kipo.Kifupi usifanye kitu ambacho utaonekana wa ajabu na wenzako wakakupunguzia heshima.
 - Haina aja ya kunata sana japopokuwa unamafanikio kupita wengine.
 - Kuwa mkweli na muwazi kama jambo hilo halina mslahi kwako.Sio unashabikia jambo etikisa fulani kasema.
 - Jaribu kushiki na jamii kwa jambo unalolijua au kujifunza jambo jipya ilimladi mshiriane.Hii itasaidia kuwa pamoja.Hii itakuweka karibu na jamii.
 - Usihusishe na jambo usilolipenda maana litaleta tofauti mwisho mtashindwa kuelewana.