Monday, August 5, 2013

Mbinu za kuishi na watu mbalimbali katika jamii

Kila mtu anatabia na mtazamo wake  katika maisha.Lakini ili kuenenda na tabia na mtazamo wa watu tofautitofauti.Zifuatazo ni mbinu mathubuti zikizingatiwa basi utaishi na jamii yoyote ile kwa amani.
  • Kwanza soma tabia,utamaduni na kanuni za jamii husika.
  • Msome kila mtu na tabia yake.Kwa mfano watu wengine wanapenda kusifiwa tu na wengine kila kitu yeye anajua wala hataki kupingwa.
  • Jitahidi ufanye kila kitu kwa ufanisi wa hali ya juu.uwemstaarabu mfano usikae kwenye meza wakati kiti kipo.Kifupi usifanye kitu ambacho utaonekana wa ajabu na wenzako wakakupunguzia heshima.
  • Haina aja ya kunata sana japopokuwa unamafanikio kupita wengine.
  • Kuwa mkweli na muwazi kama jambo hilo halina mslahi kwako.Sio unashabikia jambo etikisa fulani kasema.
  • Jaribu kushiki na jamii kwa jambo unalolijua au kujifunza jambo jipya ilimladi mshiriane.Hii itasaidia kuwa pamoja.Hii itakuweka karibu na jamii.
  • Usihusishe na jambo usilolipenda maana litaleta tofauti mwisho mtashindwa kuelewana.

No comments: